MRADI WA MADINI YA KINYWE – LINDI JUMBO
Mradi wa madini ya kinywe wa Lindi Jumbo upo Kusini-Mashariki mwa Tanzania, karibu kilometa 100 kutoka bandari ya Mtwara. Kampuni inamiliki asilimia 100% ya Leseni ya Uchimbaji Madini Namba ML579/2018 ambayo awali ilikuwa sehemu ya Leseni ya Utafutaji Madini Namba PL9992/2014 ambapo ndipo kuna amana ya madini ya Kinywe ya Lindi Jumbo na asilimia 70% ya Leseni ya Utafutaji Madini Namba PL9993/2014. Leseni hizi ziko katika ukanda wa kijiolojia ujulikanao kama ukanda wa Msumbiji). Ukanda huu wa Msumbiji ni eneo ambako kuna amana za madini ya kinywe ya daraja la juu kabisa kidunia. Kampuni imeutoa mradi kwenye hatua ya uvumbuzi kwa kuchoronga mwezi Oktoba 2015 hadi kufikia kukamilika kwa utafiti kamili ndani ya miezi kumi na sita na kupewa leseni ya uchimbaji madini kwenye eneo hilo lenye amana.
Hali isiyo ya kawaida ya mgawanyo wa chembechembe za madini ya kinywe za daraja la juu katika eneo la Lindi Jumbo Eneo la mradi linatoa hali shindani ya upendeleo kwenye mtaji na kupunguza gharama za uendeshaji na uchenguaji na hatimae zao linalotafutwa la kinywe asilia. Kampuni inaharakisha maendeleo ya mradi huu ili kufaidika na matarajio ya mahitaji makubwa kuhusu kinywe hii safi.
Mradi unajumuisha inavyotakikana na kanuni za JORC( Namna ya uripotiji wa utafiti wa madini pamoja na ukokotoaji wa amana za madini) 2012, kukubaliwa kwa hifadhi , inayowezekana kuthibitika na kupimwa, imeonyeshwa na kuingizwa katika rasilimali ya madini.
UTAFITI SAHIHI USIO SHAKA
Utafiti sahihi usio shaka ulikamilishwa mwezi Februari 2017 na kupitiwa upya mwezi Agosti 2017 katika mwitikio wa kuendana na mabadiliko ya sheria za Serikali ya Tanzania na tena mwezi Machi, 2019 ikajumuisha toleo jipya la mwaka 2018 kuhusu rasilimali na hifadhi.
Utafiti sahihi usio shaka unathibitisha kwamba mradi, kitekinologia uko vizuri na kiuchumi faida itakayopatikana itakuwa ya kuridhisha hata kama bei ya kinywe itakuwa sio ya juu sana. Gharama za mradi wote zitarudi chini ya miaka miwili. Ukokotoaji uliofanyika chini ya utafiti sahihi usio shaka ulifuata msingi wa uzalishaji wa tani 40,000 kwa mwaka za makinikia ya kinywe ya kiwango cha hali ya juu, kutokana na wastani wa tani 230,000 kwa mwaka utakaopelekwa kwenye kinu kwa kila mwaka wa maisha yote ya mgodi – miaka 24.
Yafuatayo ni mambo muhimu yaliyodhihirika kutokana na utafiti sahihi:-
- Gharama za uendeshaji ulio chini kabisa nchini Tanzania wa Dola za Kimarekani 347 kwa tani ya makinikia hadi kufikishwa bandari ya Mtwara.
- Matumizi ya mtaji wa chini kabisa nchini Tanzania wa Dola za kimarekani milioni 27.8
- Hifadhi ya udongo wa madini ya kinywe yenye daraja la juu kabisa la asilimia 17.9%TGC((Kiwango cha jumla cha Carbon katika madini ya Kinywe)
- Hifadhi ya udongo wa kinywe wa asilmia 37% uliopimwa na kuonyeshwa kama sehemu ya asilimali ya madini.
- Muda mfupi sana wa miezi saba kuendeleza/kujenga tangu kupata ufadhili.
MLINGANISHO KIFEDHA
Mlinganisho Kifedha | Jumla maisha yote ya mgodi |
Mapato | Dola za Kimarekani milioni 1,445 |
Gharama za kuendesha mradi | Dola za Kimarekani milioni 334.1 |
Mtaji wa mradi | Dola za Kimarekani milioni 27.8 |
Mtaji unaotumika sasa | Dola za Kimarekani milioni 0.87 |
Thamani ya sasa kabla ya kodi
(Pre Tax NVP 10%) |
Dola za Kimarekani milioni 335 |
Kiwango cha ndani cha kurudi kabla ya kodi (Pre-Tax IRR) | 142% |
Thamani ya sasa baada ya kodi
(Post-Tax NPV 10%) |
Dola za Kimarekani milioni 197 |
Kiwango cha ndani cha kurudi
(Post-Tax IRR) |
119% |
Kipindi cha malipo | Miezi 22 |
Kiwango cha juu cha ufadhili
(Peak funding requirement) |
Hasi Dola za Kimarekani milioni -28.7 |
Gharama za uendeshaji hadi bandari ya Mtwara (FOB Mtwara) | Dola za Kimarekani milioni 347 (Dola/tani moja ya makinikia) |
Faida kabla ya kulipa mrahaba (operating margin before royalties) | 77.5% |
Wastani wa mwaka wa mzunguko wa pesa huru (Average annual cashflow) | Dola za Kimarekani milioni 28.8 |
Wastani wa mapato kabla ya riba,kodi,uchakavu wa mashine na malipo ya mashine(annual average EBITDA) | Dola za Kimarekani milioni 44.1 |
Maisha ya mgodi | Miaka 24 |
HIFADHI YA UDONGO WA KINYWE NA RASILIMALI MADINI
Mwaka 2018 Walkabout walitangaza rasilimali ya madini kuwa tani milioni 41.8 kidunia ambayo ilikisiwa kuwa ya kiwango cha asilimia 10.8%TGC ( total graphitic carbon) na imeripotiwa kulingana na utaratibu wa 2012 JORC.
Ubora wa juu uliopimwa , kuonyeshwa na kuingizwa katika rasilimali ya madini una kiwango cha daraja la juu cha tani milioni 5.0 yenye asilimia 22.5%TGC kwa tani 1,127,800 yenye kinywe.
Imesemwa imethibitishwa na inawezekana kwamba hifadhi ya udongo wa kinywe wa tani milioni 5.5 wenye asilimia 17.9%TGC ambao msingi wake asilimia 37% ya uliopimwa na kuonyeshwa kama rasilimali kwenye utaratibu wa 2019 JORC ni makisio tu yanayoufanya udongo wa kinywe uliotolewa taarifa kuwa wa daraja la juu kabisa katika Afrika.
Hifadhi ya udongo wa kinywe unakadiriwa kwa maisha ya mgodi ya miaka 24 kuzalisha tani 40,000 za makinikia ya kinywe kwa mwaka.
Maisha ya mgodi yanaweza kuongezeka kutokana na kukuza kwa kuonyeshwa na jinsi udongo wenye daraja dogo yaani chini ya asilimia 17% utakavyochukuliwa.
HIFADHI YA UDONGO WA KINYWE NA RASILIMALI MDINI – LINDI JUMBO
Hifadhi ya udongo wa kinywe | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Imeingizwa | 26.9 | 10.5 | 2,837,600 | ||||||||||||||||||||||||||||||||||
Jumla | 41.8 | 10.8 | 4,506,700 |
* Makisio hadi tarakimu kamili yametumika
Kielelezo cha mwendelezo wa shimo la uchimbaji hatua kwa hatua. Inaonyesha kujikita kwenye kina kidogo chenye udongo wenye daraja la juu katika miaka ya mwanzo na shimo kuendelea kuwa na kina kirefu miaka ya baadae katika uhai wa mgodi.
MATOKEO YA UCHENGUAJI
Kazi kubwa ya majaribio ya uchenguaji inaonyesha kwamba mradi wa Lindi Jumbo unaweza kuzalisha makinikia yenye madini ya kinywe ya hali nzuri kabisa katika mgawanyiko wa chembechembe ambao unafikia asilimia 75% na zaidi ya microns 180 ya usafi wa juu (zaidi ya asilimia 95% TGC) kwa kutumia viwango vya kawaida vya kiwandani. Hii inajumlisha hadi asilimia 25% ya punje za kinywe yenye zaidi ya microns 500 (au +35 mesh).
VIPIMO VYA ZAO AMBVYO VIMEDHAMIRIWA KUTOKA MATARAJIO YA UCHENGUAJI NA UTABIRI WA BEI.
Aina ya zao | Mesh | Mgawanyiko wa punje % | Daraja
%TGC |
Mauzo kwa mwaka |
Supa Jumbo (+500microns ) | +35 | 14.8% | Zaidi ya 95 | 6,000 |
Jumbo (+300microns) | +50 | 34.5% | Zaidi ya 95 | 13,000 |
Kubwa
(+180 microns) |
+80 | 25.0% | Zaidi ya 95 | 10,500 |
Nyingine
(microns-180)
|
-80 | 25.7% | Zaidi ya 95 | 10,500 |
Jumla | 100% | Zaidi ya 95 | 40,000 |
* Chanzo: Halisi ya kiwanda, Stormcrow, Benchmark Mineral Intelligence and market sources.
Punje za +500microns (+35mesh) katika makinikia
Majaribio yaliyofanywa na taasisi zinazojitegemea juu ya makinikia ya Lindi Jumbo yanaonyesha kwamba punje zinafaa kwa uzaalishaji wa kinywe inayonyunyumbuka au kinywe ikiwa kama karatasi nyembamba (mfano wa aluminium foil) yenye uwiano wa kunyunyumbuka hadi sentimita za ujazo 590 kwa gram. Hii inalinganika vizuri na wastani wa kunyunyumbuka wa uwiano wa mara 250 kwa kinywe itokayo China.
UWIANO WA KUNYUNYUMBUKA ULIOPATIKANA KWA KUTUMIA PUNJE ZA KINYWE ZENYE microns +180 kwenye kipimo cha joto la nyuzi 800 na 1000 Centigrade:
Ukubwa wa punje | Microns +500 | Microns +300 | Microns +180 | |
Joto | 800C | 590cm3/g | 485cm3/g | 410cm3/g |
1000C | 500cm3/g | 500cm3/g | 475cm3/g |
KINYWE ILIYONYUNYUMBUKA NA MAZAO MAALUM YALIYOTENGENEZWA KUTOKA KARATASI NYEMBAMBA YA KINYWE:
UWEZEKANO WA UVUMBUZI
The Gilbert Arc Deposit remains open along strike and at depth with further mineralised zones intersected through drilling and surface sampling to the west. There are also numerous undercover VTEM conductors of which the majority remain untested through reconnaissance drilling. Notable mineralised drilling intersects of other VTEM targets within 3km from the Gilbert Arc deposit include:
LJRC003 (VTEM Target 1): 5m @ 8.8% TGC from 63m
LJRC012 (VTEM Target 6): 33m @ 4.3% TGC from 3m
LJRC014 (VTEM Target 7): 15m @ 14.1% TGC from 14m including 3m @ 30.9% TGC
Amana ya Gilbert arc inaendelea kuwa wazi kwa sehemu iliyotambulika na kwa kina ambamo maeneo ya aina za madini yanaonekana kwa kuchoronga na kuchukua sampuli upande wa Magharibi.
Pia, kuna utafiti wa kimyakimya kwa utaratibu wa kutumia njia ya kifaa kinachoruka na helikopta angani ujulikanao kama VTEM, ila maeneo mengi ya utafiti huo haujajaribiwa kwa kuchoronga.
Kuna sehemu zinazoonekana kuwa na madini kwa kuchoronga sehemu sehemu ila lengo la VTEM ni kukaribia kilomita 3 kutoka amana ya Gilbert ambao unajumuisha:-
LJRC003 Lengo la VTEM 1: mita5@8.8%TGC kutoka mita 63
LJRC012 Lengo la VTEM 6: mita33@4.3%TGC kutoka mita3
LJRC014 Lengo la VTEM 7: mita15@14.1%TGC kutoka mita 14 ikiingiza